MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; FANYA MPAKA MWISHO…
Mafanikio huwa hayaji kwa kuanza kufanya vitu na kuishia njiani, bali huja kwa kufanya vitu mpaka mwisho. Japo haitakuwa rahisi, japo utakutana na vikwazo na changamoto, huwezi kufanikiwa kama utaishia njiani. Chochote unachochagua kufanya, amua kukifanya mpaka mwisho wake, kamwe usikubali kuishia njiani, pambana kwa kila namna uendelee kufanya. Moja