MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2263; Kuwaangalia Wengine Ndiyo Kunakupoteza…
Mwekezaji bilionea Warren Buffett amewahi kusema kinachopelekea maanguko ya uchumi ni tabia ya watu kufuata kundi. Anasema watu wengi huwa hawawezi kutulia pale wanapoona kundi kubwa la watu likifanya kitu, huwa hawataki wapitwe, hivyo hukimbilia kufanya na kuishia kuanguka. Ndiyo maana watu wengi hununua hisa wakati zinapanda bei na kuziuza