MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2265; Umuhimu Wa Kupenda Unachofanya…
Kupenda unachofanya ni kitu ambacho kimekuwa kinashauriwa sana kama mtu anataka kufanikiwa kwenye jambo lolote lile. Lakini ushauri huo haumaanishi kwamba hutaumia kwenye kukifanya, utaumia sana, ila kwa kuwa unakipenda, utayavumilia mateso unayokutana nayo. Mafanikio makubwa yanahitaji gharama kubwa, gharama ambayo kama huna msukumo mkubwa kutoka ndani yako, hutaweza kuilipa.