MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; USIFANYE MAMBO KUWA MAGUMU ZAIDI…
Mambo yanayokukabili sasa, yanakutosha kupambana nayo, ya nini ujiongezee mzigo kwa mambo ambayo bado hayajatokea? Huwa tunapenda kuhofia mambo ambayo bado hayajatokea, lakini hofu hizo huwa hazisaidii chochote, zaidi ya kuwa kikwazo kwetu kukabiliana na yaliyo mbele yetu. Yakabili yaliyo mbele yako sasa, peleka umakini wako wote hapo na yatakapokuja