MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2267; Wewe Siyo Wa Kwanza Kupitia…
Kama kuna kauli yenye nguvu na maana kubwa kwenye maisha yetu ni kauli kwamba hakuna kipya chini ya jua. Na ili kuwa sahihi zaidi, kauli hiyo inapaswa kuwa hakuna tatizo jipya chini ya jua, matatizo yamekuwa ni yale yale, ila yanakuja kwa njia tofauti na hatua tunazochukua kuyatatua ndiyo zinaweza