MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MATATIZO NI YALE YALE…
Matatizo na changamoto kubwa zinazokusumbua kwenye maisha yako ni chache na zinazojirudia rudia. Matatizo na changamoto zinazowakabili wanadamu ni zile zile ambazo zimekuwepo miaka na miaka. Hivyo usihangaike na matokeo, badala yake tafuta chanzo. Na pia suluhisho bora ni suluhisho la zamani, ambalo limekuwepo miaka na miaka. Usikubali kuendelea kusumbuka