MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2269; Kujenga Uaminifu…
Njia pekee ya kujenga uaminifu kwa wengine, kwenye jambo lolote lile ni kuwa mkweli, kusimama kwenye ukweli. Mara nyingi watu hudanganya kwa nia njema, kwa kuona wakitoa ukweli mapema wanaweza kuwaumiza watu. Lakini ukweli haujawahi kushindwa, ukweli hujitokeza hadharani tu, hivyo kuuficha sasa kwa sababu hutaki watu waumie, hujawazuia kuumia,