MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; DUNIA HAITAKUACHA KIRAHISI…
Dunia huwa inakuweka kwenye kundi fulani ili iweze kukutumia inavyotaka yenyewe. Ili uweze kufanikiwa lazima uondoke kwenye kundi ambalo dunia inakuweka na uwe wewe, ufanye kilicho tofauti. Na hapo ndipo mgogoro mkubwa wa kimafanikio unapoanzia. Dunia itapambana kukurudisha kwenye kundi ambalo imekuweka huku wewe ukitakiwa kupambana kusimama kwenye kile ulichochagua.