MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2270; Mapema Iwezekanavyo Ni Sasa…
Kama kuna kitu unajiambia unataka kuanza kukifanya mapema iwezekanavyo, basi jua mapema hiyo ni sasa. Kama utajiambia kuna mapema nyingine zaidi ya sasa, jua hutafanya hicho ulichopanga kufanya au utachelewa sana kuanza kiasi kwamba unapokuja kukifanya, fursa inakuwa imekuacha. Hivyo unapaswa kubadili kauli zako, kwa yale muhimu, badala ya kujiambia