MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; TUMIA FIKRA ZAKO VIZURI…
Fikra zako zina nguvu ya kuumba chochote kile, kiwe kizuri au kibaya. Ni wajibu wako kutumia nguvu hiyo ya fikra kutengeneza ndoto kubwa na nzuri kwako na kuziamini kisha kuzifanyia kazi. Hata kama umefungwa kimwili au mwili unateswa, usiruhusu akili na fikra zako zifungwe au kuteswa. Hata kama unapitia magumu