MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2272; Kama hutaki matusi yakuumize…
2272; Kama hutaki matusi yakuumize… Kama matusi ya wengine yakuumize, usikubali pia sifa wanazokupa zikuvimbishe kichwa. Mara nyingi watu wanapotusifia na kutuambia maneno mazuri tunafurahi na kujisikia vizuri. Lakini watu wanapotutukana au kutukosoa tunachukia na kujisikia vibaya. Hali zote tunazitengeneza sisi wenyewe na wala siyo maneno wanayotoa wengine. Unapofurahishwa na