MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; USIHANGAIKE NA MENGI…
Mambo ya kufanya ni mengi ma mengi mno yanawinda umakini wako. Lakini huna muda wala nguvu za kuweza kufanya yote yanayokutaka uyafanye. Kama unataka matokeo mazuri, lazima uweke vipaumbele vyako vizuri, uhangaike na yale ambayo ni muhimu zaidi, ambayo wewe tu ndiye unaweza kuyafanya kwa namna bora unayotaka. Mengine ambayo