MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2273; Marudio…
2273; Marudio… Kumbuka wimbo ambao unaupenda sana, umeusikiliza au kuuangalia mara ngapi? Kumbuka chakula unachokipenda sana, umekila mara ngapi kwenye maisha yako? Kumbuka somo ambalo umewahi kufaulu kuliko mengine ulipokuwa shuleni, ulilisoma mara ngapi? Yale yote muhimu na unayoyapenda, umekuwa unayarudia rudia kila mara. Mziki unaoupenda huwa unausikiliza au kuuangalia