MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NIDHAMU…
Nidhamu ni moja ya misingi muhimu sana ya mafanikio. Ni nidhamu inayokuwezesha kupanga na kutekeleza ili kufanikiwa. Nidhamu binafsi ni kujiheshimu mwenyewe na kutekeleza unayopanga. Nidhamu ya kazi ni kujiwekea viwango vya ufanyaji kazi na kuvifuata kila wakati. Nidhamu ya fedha ni kuongeza kipato, kuweka akiba na kuwekeza. Nidhamu ya