MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UADILIFU…
Uadilifu ni moja ya misingi muhimu sana kwenye mafanikio yako. Ili ufanikiwe, lazima watu wakuamini na watu watakuamini kupitia uadilifu wako. Huwezi kuaminika kama unayosema na unayofanya yanatofautiana. Huwezi kuaminika kama unaahidi vitu na hutekelezi. Huwezi kuaminika kama ukiwa faragha unafanya mambo mengine na ukiwa kwenye hadhara unafanya mambo mengine.