MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2276; Kamata tamaa zao…
2276; Kamata tamaa zao… Huwa hatuzipendi hisia hasa wakati wa maamuzi, lakini hatuwezi kufanya maamuzi yoyote bila hisia. Hili limethibitishwa kisayansi, baadhi ya watu waliofanyiwa upasuaji wa ubongo na eneo la hisia kuharibiwa, waliweza kufikiri vyema kabisa, lakini hawakuweza kufanya maamuzi. Chukua mfano mtu anaenda kwenye mgahawa na kuangalia vyakula