MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUJITUMA…
Sehemu ya tatu ya msingi wa mafanikio tunaouishi kila siku ni kujituma. Kujituma ni kuweka juhudi na umakini mkubwa kwenye kile unachofanya ili uweze kupata matokeo yaliyo bora. Ni kwenda hatua ya ziada kwa kufanya zaidi ya watu wanavyotegemea ufanye au wanavyokulipa. Ni kuzalisha thamani iliyo kubwa sana. Kwa kuwa