MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UTAJIRI…
Kuna watu wakisikia neno utajiri wanajisikia vibaya, kama vile ni neno baya ambalo ni mwiko kulisema hadharani. Hivyo ndivyo jamii ilivyowatengeneza watu, kuhakikisha hawafikii utajiri ili waendelee kuwa watumwa wa jamii husika. Utajiri ni kitu cha asili, asili huwa haipendi utupu, hivyo hujaza kila aina ya utupu. Fikiria madini ambayo