MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2280; Kila kitu kinaanza na mteja…
2280; Kila kitu kinaanza na mteja… Watu huwa wanahangaika na mambo mengi kwenye biashara zao, ambayo hata siyo muhimu. Yale ya muhimu kabisa na yanayoiwezesha biashara kupiga hatua huwa hayapewi uzito mkubwa. Watu huhangaika na wazo, jina, mtaji, eneo na mengine, lakini mteja hawampi kipaumbele kikubwa. Watu huhangaika na mbinu