MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KAZI…
Kama kuna rafiki mmoja unayemhitaji sana kwenye maisha yako basi ni kazi. Kazi haijawahi kumtupa yeyote anayeipenda na kuiheshimu. Kazi imekuwa inalipa sawasawa na mtu anavyoweka juhudi. Chochote unachotaka kwenye maisha yako, utakipata kupitia kuweka kazi kwa juhudi kubwa. Kuanzia fedha, mafanikio, heshima, afya na hata mahusiano bora. Kila chenye