MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2281; Manne ya kuzingatia kwenye mauzo…
2281; Manne ya kuzingatia kwenye mauzo… Kila mmoja wetu ni muuzaji. Kuna kitu unauza kwenye maisha yako, kile unachowashawishi watu wakubaliane na wewe. Ili ufanikiwe, lazima uwe muuzaji mzuri, kwa sababu kila unachotaka kwenye maisha yako, kinatoka kwa wengine. Kuna mengi ya kufanya ili kuwa muuzaji mzuri, lakini haya manne