MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HUDUMA…
Chochote tunachotaka kwenye maisha yetu, ni wengine wanacho. Hivyo ni wajibu wetu kuhakikisha tubaweza kuwashawishi wengine kutupa tunachotaka. Na njia ya uhakika ya kufanya hivyo ni kutoa huduma kwa wengine. Chochote unachofanya, hakikisha kina manufaa kwa wengine, kinaongeza thamani kubwa kwao na kuyafanya maisha yao kuwa bora. Hakikisha unayagusa maisha