MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; TEGEMEA UWEZO NA SIYO HURUMA…
Wafanye watu wakuchague wewe kutokana na uwezo ulionao katika kufanya vizuri kile wanachohitaji na siyo kwa kukuonea huruma. Wakikuchagua kwa huruma wanakuwa wametumia hisia, ambazo huwa hazidumu. Lakini wakikuchagua kwa uwezo, wanakuwa wametumia mantiki, ambayo hudumu wakati wote. Badala ya kutaka uonewe huruma au upendelewe, kazana kujijengea uwezo wako kwa