MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UHURU NA UKOMO…
Wengi hufikiri uhuru ni kutokuwa na ukomo wowote, lakini hiyo siyo sahihi. Kila kitu kwenye asili kina ukomo wake. Chukua mfano wa muda, kila mtu ana masaa 24 tu kwenye siku yake, hakuna anayeweza kuongeza hata sekunde moja ya ziada. Lakini kuna watu wana uhuru mkubwa wa muda, kwa kuwa