MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UTAWARIDHISHA WANGAPI?
Sisi binadamu kama viumbe wa kijamii, tumejengewa mazoea ya kutaka kuwaridhisha wengine ili watukubali. Hili lilikuwa muhimu kipindi cha kale ambapo watu walikuwa kwenye makundi madogo na hali ilikuwa hatari. Lakini sasa mambo yamenadilika, hatupo tena kwenye makundi madogo na hatari siyo kubwa. Hivyo unapokazana kuwaridhisha wengine, haina msaada wowote