MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UMEWAFUNDISHA MWENYEWE…
Jinsi watu wanavyokuchukulia, ni wewe mwenyewe umewafundisha. Wanaiga kile unachojifanyia mwenyewe na ndiyo wanakufanyia. Kama unajiheshimu, watu lazima wakuheshimu, ukijidharau wanakudharau. Kama unajithamini na watu pia watalazimika kukuthamini. Ndiyo maana ni muhimu sana kujiwekea viwango vyako vya kimaisha na kuviishi, maana bila hivyo watu watakuwekea viwango vya chini ili wakutumie