MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2289; Ulichozaliwa nacho, hupaswi kukiomba…
2289; Ulichozaliwa nacho, hupaswi kukiomba… Jamii huwa haipendi uwe huru kuwa vile unavyotaka. Na ili kukunyima uhuru wako, inahakikisha inakujengea aina fulani ya utegemezi ambapo utajiona bila jamii hiyo maisha yako hayawezi kwenda. Ukianza na uhuru wenyewe, ulizaliwa ukiwa huru kabisa, lakini mamlaka mbalimbali zinajihamishia uhuru huo na kukufanya uzione