MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; RAHA IPO KWENYE KUFANYA…
Watu wengi hutegemea kupata raha au furaha baada ya kukamilisha kufanya kitu. Lakini ukweli ni kwamba raha inapatikana wakati wa kukifanya kitu, siyo baada ya kumaliza kukifanya. Na ili uipate raha hiyo, lazima uwe umechagua na kuridhia kukifanya na wakati wa kukifanya unaweka umakini wako wote hapo. Usihangaike kutafuta raha