MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2292; Rahisi ni hatari…
2292; Rahisi ni hatari… Ukiona kila unachofanya ni rahisi kwako, hukutani na ugumu wala changamoto, ogopa sana, kwa sehemu kubwa uko eneo hatari na hutaweza kufanya makubwa. Japo huwa tunapenda mambo yawe rahisi, lakini iko wazi, hakuna mafanilio yamewahi kutokana na kufanya vitu rahisi. Tukirudi kwenye asili, ambayo ina kila