MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; EPUKA KAULI HII YA KITAPELI…
Utapeli huwa hautofautiani sana, ukiwa na akili kidogo tu na ukaitumia, utaona wazi viashiria vya utapeli. Na matapeli wanajua kuna viashiria vilivyo wazi na pale unapouliza kuhusu hilo tayari wana majibu. Watakuambia hii ni tofauti na nyingine ambazo utakuwa umefananisha nazo. Na kama utaendelea kuuliza zaidi watakuonesha wengine ambao tayari