MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; USIDHARAU HATUA NDOGO NDOGO…
Hakuna kitu unachofanya kisiache madhara kwenye maisha yako. Kila hatua unayochukua, hata kama ni ndogo kiasi gani, inaacha alama kwenye maisha yako na unavyorudia kufanya inajenga au kubomoa tabia fulani ndani yako. Pia kile unachofanya, kinageuka kuwa mazoea na baadaye unajikuta unafanya bila hata ya kufikiri. Kuwa makini sana na