MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2297; Misimu Ya Maisha…
2297; Misimu Ya Maisha… Kila kitu kwenye asili, huwa kinaenda kwa misimu. Na hiyo ni kwa sababu kwenye asili hakuna kilichosimama, kila kitu kipo kwenye mwendo. Maisha yetu pia yana misimu mbalombali, lakini wengi hatulijui hilo. Tunachofikiri ni maisha kama safari ya njia iliyonyooka, kuanzia kuzaliwa mpaka kufa. Lakini hivyo