MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HUWEZI KUELEWEKA NA WOTE…
Kueleweka au kukubalika na watu wote ni kitu ambacho hakiwezi kutokea. Hata kama unafanya jambo lenye manufaa kiasi gani, kuna ambao wataona ni bora ungefanya jambo jingine wanaloona lina manufaa zaidi. Hivyo msingi wako kwenye yale unayofanya haupaswi kuwa kukubalika na kila mtu, badala yake unapaswa kuwa ni kufanya kilicho