MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2299; Kupewa, kupata na kutengeneza…
2299; Kupewa, kupata na kutengeneza… Inapokuja kwenye fedha, maneno hayo matatu yana maana na tofauti kubwa. Kuna ambao wanaingiza fedha kupitia kupewa na wengine, mfano walioajiriwa. Watu hawa hawana nguvu kubwa ya kuamua wapewe kiasi gani, kwa kuwa wanategemea kupewa, yule anayetoa ndiye anayeamua kiasi gani awape. Hii siyo njia