MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2300; Kama hujafika unakotaka kufika…
2300; Kama hujafika unakotaka kufika… Huna wakati wa anasa na mambo yasiyokuwa na umuhimu. Kila dakika unapaswa kuiweka kwenye juhudi za kukufikisha unakotaka kufika. Unapaswa kutumia kila fursa iliyopo mbele yako katika kufikia malengo yako. Ushauri pekee unaohitaji katika kipindi hicho ni ule wa kukufikisha unakotaka kufika. Sahau kuhusu mlinganyo