MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; USHAWISHI WA WENGINE…
Kila unachosikia, kuona au kusoma, kuna ushawishi kinasababisha ndani yako. Hakuna kinachoingia kwenye akili yako bila kuacha madhara fulani. Hivyo unapaswa kuwa makini sana na watu unaowasikiliza, unaowaangalia na unaowasoma. Wale wenye ushawishi usio mzuri kwako, kaa nao mbali sana. Pia kuwa na msingi wako imara unaoufuata ambao mara zote