MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2301; Kinachokukasirisha kikutofsutishe…
2301; Kinachokukasirisha kikutofsutishe… Sheria ya kwanza na muhimi sana kwenye biashara ni kuwa na kitu kinachokutofautisha na wafanyabiashara wengine. Kuwa na kitu au vitu ambavyo wateja wanavipata kwako tu na hawawezi kuvipata sehemu nyingine yoyote. Yaani hata kama bidhaa au huduma yako itaondolewa jina na nembo, bado mteja aweze kuitambua