MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; USHAURI USIO SAHIHI…
Watu watajitolea kukupa ushauri mbalimbali ambao hata hujawaomba. Wataona wanajua jinsi unavyopaswa kuyaishi maisha yako kuliko wewe unavyojua. Chunga sana usishawishiwe na kila ushauri watu wanakupa. Kipaumbele cha kwanza kwenye maisha yako ni kupata kile unachotaka na hivyo ushauri unaohitaji ni wa kukusaidia kufika huko. Kama bado hujapata unachotaka, ushauri