MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Usijivunie kufa, jivunie kuishi…
“A man with outward courage dares to die; a man with inner courage dares to live.” – Lao Tzu. Kuishi kunahitaji ujasiri wa ndani, kufa kunahitaji ujasiri wa nje. Wengi wanauweza ujasiri wa nje, lakini wachache mno ndiyo wanauweza ujasiri wa ndani, kuweza kuyaishi maisha yao. Utasikia mtu anasema niko