MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KILA MAISHA YANA GHARAMA…
Ukiwa masikini unaweza kuona matajiri wana maisha rahisi kuliko wewe, kwa kuwa wanaweza kupata chochote wanachotaka. Ukiwa tajiri unaweza kuona masikini wana maisha rahisi kuliko yako, kwa sababu hawasumbuki na mambo mengi. Ukweli ni kwamba kila maisha yana gharama ambayo lazima ilipiwe, hakuna maisha ya bure. Hivyo usihangaike kutafuta maisha