MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2304; Alama Tatu Za Umasikini…
2304; Alama Tatu Za Umasikini… Kitu kikubwa kinachowatifautisha masikini na matajiri siyo kinachoonekana, bali kisichoonekana. Kwa maana kuwa zile sababu wengi wanafikiri ndiyo zinawatofautisha siyo, bali namna ya kufikiri ndiyo inawatofautisha. Wanavyofikiri matajiri ni tofauti kabisa na wanavyofikiri masikini na hapo ndipo tofauti inapoanzia. Kuna alama kubwa tatu za umasikini