MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Kwenda Mbinguni Bila Kufa
“A normal human being does not want the Kingdom of Heaven: he wants life on earth to continue.” – George Orwell Kila mtu anataka kwenda mbinguni ila hakuna aliye tayari kufa. Jidanganye kwenye yote lakini usisahau siku zako zinahesabika, leo ikiisha ni siku umeipunguza kwenye uhai wako. Ifanye kila siku