MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2307; Wanachokulipa ndiyo thamani yako…
2307; Wanachokulipa ndiyo thamani yako… Ni kawaida kuwasikia watu walioajiriwa wakilalamika kwamba waajiri wao wanawalipa mshajara kidogo, ambao hauendani kabisa na thamani yao. Pia wapo waliojiajiri na walio kwenye biashara ambao wanalalamika kipato au faida wanayoingiza ni ndogo ukilinganisha na thamani yao. Iko hivi rafiki, kama umeajiriwa na mwajiri wako