MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KINACHOFANYA MAISHA YAWE MAGUMU….
Ni kufanya mambo rahisi, kuishi kwa mazoea na kuigiza maisha. Unafanya mambo rahisi kwa sababu hutaki kuchoka, kusumbuka wala kuumia, hutaki pia kushindwa. Unafanya kwa mazoea kwa sababu hutaki kufikiri tofauti na unahofia kujaribu vitu vipya kwa kuwa huna uhakika navyo. Unaigiza maisha kwa kutaka uonekane tofauti na uhalisia wako