MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUPATA UNACHOTAKA…
Kupata chochote kile unachotaka, kunahitaji ushujaa wa hali ya juu sana, maamuzi ya kwamba lazima utakipata na ung’ang’anizi mpaka ukipate. Kama chochote kinaweza kukuzuia, hutapata unachotaka, lazima uwe ambaye huwezi kuzuiwa na chochote. Ambaye umeamua utapata unachotaka au utakufa ukiwa unapambana kukipata, hakuba chaguo jingine. Ukurasa wa kusoma ni mambo