MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2310; Njia ya kupunguza msongo…
2310; Njia ya kupunguza msongo… Chanzo kikuu cha msongo wa mawazo huwa ni kuyaruhusu mawazo yazurure yatakavyo. Unakuwa unafanya kitu kimoja, ila mawazo yako yako kwenye kitu kingine tofauti kabisa. Kwa mawazo yako kuzurura, yanatengeneza kitu kisichokuwepo, wakati kilicho mbele yako hukofanyi vizuri. Kinachotokea ni muda unakuwa umeisha, umejipa hofu