MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UTULIVU WA MAISHA…
Utulivu wa maisha huwa unaanzia kwenye utulivu wa fikra. Kama fikra hazijatulia, maisha pia hayawezi kutulia. Kwa fikra kuzurura hovyo, kunapelekea mtu kupatwa na msongo wa mawazo. Kuzidhibiti fikra zako zikae kwenye kile unachofanya kwa wakati husika ni njia bora ya kutengeneza utulivu wa maisha yako. Anza sasa kudhibiti na