MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KAMA HAWAKUELEWI NI SAWA…
Kama watu wanakulalamikia kwamba hueleweki, hawayaelewi maisha yako hilo lisikusumbue sana. Maana hakuna yeyote anayeiona dunia kwa namna unavyoiona wewe. Imani, mtazamo, fikra na uzoefu ulionao ni wa kipekee, ukiishi kwa kuzingatia hayo, utakuwa tofauti kabisa na wengine. Na kuwa tofauti haimaanishi unakosea, bali inamaanisha unafanya kilicho sahihi kwako. Watu