MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NI MAAMUZI YAKO…
Pale maisha yako yalipo sasa ni matokeo ya maamuzi ambayo umefanya siku za nyuma. Hata kutokufanya maamuzi ni sehemu ya maamuzi, kwa sababu unakuwa umeruhusu wengine ndiyo wakufanyie maamuzi. Na ukifanya maamuzi halafu usichukue hatua nayo pia ni maamuzi umefanya kutokuchukua hatua na yamekufikisha ulipo sasa. Njia pekee ya kuyabadili