MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAAMUZI YA MAKUBALIANO…
Maamuzi ya kufanya kwa makubaliano ili kumridhisha kila mtu huwa maamuzi mabovu sana kwako. Maamuzi yoyote yanayofikiwa na kundi kubwa la watu huwa ni maamuzi ya kawaida na hata utekelezaji wake huwa siyo mzuri. Maamuzi yanapaswa kusimama kwenye ukweli na siyo kumridhisha kila mtu. Ili ufanikiwe, lazima uwe tayari kufanya